Fikra

Kwa nini nchi za Afrika bado ni maskini?

Hivi ni nani anaetoa ulinganifu na kuamua kuwa nchi fulani ni maskini na nyingine ni tajiri?!

Hivi kweli pato la taifa linatosha kuamua nani ni maskini na nani ni tajiri?!

Je hizo nchi zinazotupa misaada zinafaidika na nini?!

Mbona hata nchi zinazosemekana ni tajiri zinaomba misaada kwetu(SISI MASKINI)?!

Leave a comment

Lenduli Technologies