About

LenduliTechnologies ni blog iliyoanzishwa kwa madhumuni ya kushauri mashirika na watu binafsi kuhusu matumizi sahihi ya tekinolojia mbalimbali za mawasiliano zinazoweza kurahisisha kazi katika kujiletea maendeleo.

Mkurugenzi mtendaji wa LenduliTechnologies ndg. Martin K. aliona kuwa iko haja hasa wakati huu wa utandawazi kutoa elimu ya kitekinolojia kwa jamii ya Afrika mashariki kwa ujumla na Tanzania kwa uchache na hasa kwa wajasiriamali wadogo na wakati ili waweze kukabilian na changamoto mbali mbali katika harakati za kujiletea maendeleo yao hasa katika kipindi hiki cha utandawazi.

Ndg. Martin amebobea katika masuala ya Tekinolojia ya mawasiliano na amevaa joho la uzoefu wa kuunganisha system, na kufanya analysis zilizotukuka katika system na makampuni mbalimbali ya ndani na nje ya Tanzania.

Kwa mawasiliano unaweza kutuma email kwa anuani zifutazo:-

lenduli@yahoo.com

Ama simu no: +255 717 063294

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Lenduli Technologies

%d bloggers like this: